Tag: polisi
Zumaridi adai kuibiwa milioni 19 baada ya polisi kumtoa ndani kwake
Mshtakiwa Diana Bundala (40) maarufu kama Mfalme Zumaridi amedai kuwa wakati anakamatwa na askari katika chumba chake, shilingi milioni 19.5 na simu ...IGP Wambura awahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura amempangia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei kuwa Mkuu wa Kitengo ...Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyeua kisa ugali
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumdunga kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok nchini Kenya kisa kikidaiwa ni bakuli ...Ufafanuzi wa Polisi video ya askari aliyechukua fedha kwa raia wa kigeni
Baada ya kusambaa kwa video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari Polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni baada ya mazungumzo, ...IGP Wambura afanya mabadiliko Makamanda wa Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, (SACP) Ulrich Matei kwenda Makao makuu ya ...Miaka 80 kwa kosa la ubakaji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watuhumiwa wawili ambao ni Paul Hilonga (60) mkazi wa Karatu kwa kosa la ubakaji, na ...