Tag: Rais
Rais wa Korea Kusini aondolewa rasmi madarakani
Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imethibitisha kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol, ambaye alipigiwa kura ya kuondolewa na wabunge mwezi ...Rais Samia: Tutafanyia kazi Ripoti ya CAG, TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali iko tayari kuendelea kufanyia kazi maoni na mapendekezo yaliyotolewa ndani ya taarifa ya Taasisi ya Kuzuia ...Rais amzawadia milioni mbili Dullah Mbabe kwa mchango wake kwenye ngumi
Rais Samia Suluhu amempa zawadi ya shilingi milioni mbili bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe licha ya ...Rais: Tumeanza kuifufua bandari ya Tanga ili vijana wapate ajira
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeanza kuuifufua bandari ya Tanga ili kuongeza uzalishaji wa ajira kwa vijana hususan kwa wakazi wa ...Rais: Miradi ya ujenzi inayoendelea itaufungua Mkoa wa Tanga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema barabara, madaraja na miradi mingine ya ujenzi inayoendelea mkoani Tanga, ina lengo la kuufungua Mkoa huo kiuchumi, ...Rais wa Colombia apendekeza kokeini ihalalishwe duniani kote
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo ...