Tag: Rais Ruto
Rais Ruto alaani walioshambulia polisi wakati wa maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelaani mashambulizi dhidi ya polisi yaliyotokea wakati wa maandamano ya kizazi cha Gen-Z siku ya Jumatano, akisema ...Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Rais Ruto akataa pendekezo la kuongeza mshahara wake
Rais William Ruto ametupilia mbali pendekezo la hivi karibu lililotolewa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) kuhusu kuongezewa mishahara kwa maafisa ...Ruto: Ahadi ya kupunguza bei ya gesi haitafanikiwa
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mpango wa kushuka kwa bei ya mitungi ya gesi hadi kati ya Ksh.300 (TZS 5,150) na ...Rais Ruto apunguza ulinzi wa Kenyatta na wanafamilia wake
Ripoti mbalimbali nchini Kenya zimeeleza kuwa baadhi ya mabadiliko yamefanywa katika timu ya ulinzi ya Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta miezi ...






