Tag: Rais Samia
Serikali yaongeza mshahara kwa watumishi wa mma na kuhimiza mapitio kwa Sekta Binafsi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1 kutoka 370,000 hadi ...Rais Samia awataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa
Rais Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa pamoja na maamuzi yasiyo ya ...Rais: Nitaendelea kuilea Tanzania kwa kuharakisha huduma za kijamii
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuwa ataendelea kuwajibika kwao kwa kuilea Tanzania na kuharakisha huduma zote muhimu za kijamii kama sehemu ...Taasisi ya Bill Gates kumtunuku tuzo Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ iliyoandaliwa na taasisi ya ‘The Gates Foundation’ ya nchini Marekani ...Rais: Tutapitia upya maslahi ya Kada ya Ualimu ili kuipa hadhi stahiki
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendana na Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, toleo la 2023, Serikali itapitia upya ...Ziara ya Rais Samia Korea Kusini yafanikisha mradi wa majitaka Dar es Salaam
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema ziara iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Korea Kusini imetengeneza mahusiano mazuri na kuchangia kupatikana ...