Tag: Rais Samia
Rais Samia aonya uzembe wa viongozi ubadhirifu wa fedha za umma
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wanaotumia vibaya fedha za halmashauri zinazotolewa na Serikali na kuitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na ...Rais Samia: Kufikia 2025 robo tatu ya mbegu zitazalishwa nchini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeimarisha vituo vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu ili kufikia mwaka 2025 robo tatu ya ...Rais Samia: Kama mtu amevunja sheria ashughulikiwe haraka
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa msisitizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa wanachukua hatua za kisheria haraka iwezekanavyo kwa mtu au kikundi ...Rais Samia: Jamii inapaswa kuwarithisha watoto mila na desturi zetu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jamii inapaswa kuhakikisha watoto wanafundishwa na kukua katika maadili mema ili kuwa na taifa lenye maadili na ...Rais Samia azindua Tawi la 230 NMB, uzinduzi watikisa Kizimkazi Festival
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 30, amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, ...Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho kwa baadhi ya viongozi
Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha David Silinde kuwa Naibu Waziri wa Kilimo akichukua nafasi ya Antony Mavunde ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Wazi ...