Tag: Rais Samia
Rais Samia azindua Tawi la 230 NMB, uzinduzi watikisa Kizimkazi Festival
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 30, amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, ...Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho kwa baadhi ya viongozi
Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha David Silinde kuwa Naibu Waziri wa Kilimo akichukua nafasi ya Antony Mavunde ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Wazi ...Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya milioni 600 inayojengwa na NMB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, ...Rais Samia kutengua DC na DED Mtwara kwa kutotimiza wajibu wao
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kushindwa ...Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa Benki ya NMB katika kutambua mchango na ...Rais Samia: Hakuna mwenye ubavu wa kuligawa au kuliuza Taifa hili
Kufuatia maneno yanayoendelea kuzungumzwa kuhusu mkataba wa ushirikiano kati ya Tanzania na Dubai, Rais Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania na kusisitiza ...