Tag: Rais Samia
Rais Samia aagiza mifumo ya TEHAMA serikalini isomane
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inayosimamia sera ya TEHAMA kwa kushirikiana na wizara nyingine ...Rais Samia aipa milioni 10 familia iliyopoteza watoto wanne kwenye ajali
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 10 kama mkono wa pole kwa familia ya Mzee Hashim Msuya iliyofikwa na msiba wa ...Machinga, bodaboda wamwagia sifa uongozi wa Rais Samia
Shirikisho la vyama vya madereva wa pikipiki, bajaji na wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam wameunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais ...Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja ...Rais Samia asema Afrika haitoendelea isipowekeza zaidi kwenye rasilimali watu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni muhimu kwa viongozi wa Afrika kuhakikisha wanaangalia, wanatathmini na kusimamia mageuzi yote muhimu ili kuliwezesha bara ...Rais Samia: Tusiruhusu wenye nia ovu waligawe Taifa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kuwaenzi Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kulinda Uhuru wa Tanzania kwa kudumisha ...