Tag: Rais Samia
Rais Samia amzawadia milioni 2 mwanamke anayejitolea kuwakumbatia watoto njiti
Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia TZS milioni 2 Mariam Mwakabungu (25) mkazi wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam kutokana na kujitolea kwake ...Rais Samia aomboleza kifo cha Jecha
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ...Rais Samia: Ukosefu wa huduma za msingi unaibua migogoro
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali kushindwa kutoa huduma za msingi kwa wananchi kumechochea kuibuka kwa migogoro katika baadhi ya nchi za ...Rais Samia: Nchi za jirani zinatamani fursa tuliyoipata
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amesisitiza kuwa wakati Tanzania inaendelea kujadili makubaliano ya bandari na kampuni kubwa ya Dubai, bandari pinzani katika ...Rais Samia awataka viongozi kutokuwa waoga wa kufikiri
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kutoogopa kufanya maamuzi yenye nia njema kwa manufaa ya nchi. Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, ...Rais Samia: Tunawaunganisha wahitimu wa JKT na mradi wa kilimo wa BBT
Katika juhudi za kupunguza ukosefu wa ajira nchini Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina lengo la kuratibu na kuunganisha shughuli zinazofanywa ...