Tag: Rais Samia
Rais Samia: Mashirika yanayoitia Serikali hasara tutayafuta
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya tathmini ya utendaji wa mashirika yote ya umma na yale ambayo Serikali ina hisa kubwa, ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa ...Mjema: Rais Samia aachwe afanye kazi alete maendeleo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema amewataka vijana kukilinda chama hicho pamoja na mwenyekiti wake, ...Rais Samia atengua uteuzi viongozi wa juu ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu akichukua nafasi ya Angela Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ...Dkt. Mollel: Rais Samia ametoa fedha nyingi kupambana na magonjwa yasiyoambukiza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeweka fedha nyingi katika mapambano dhidi ya magonjwa ...