Tag: Rais Samia
Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro
Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro Rais Samia Suluhu amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendekezo kuhusu ...Ushiriki wa Rais Samia kwenye mkutano wa G20 utakavyoleta tija kwa Tanzania
Rais Samia Suluhu anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil ambapo atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama ...Rais Samia: Tunataka kujenga mfumo wa kodi unaotenda haki
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kutatua changamoto za kodi nchini ambapo imeimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato na kuijengea uwezo Mamlaka ...UWT yataka BAWACHA kumuomba radhi Rais kwa kumuita muuaji
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umelitaka Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kumwomba radhi Rais ...Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ...