Tag: Rais Samia
Naibu Waziri: Hakuna chombo cha habari kilichofungiwa katika kipindi cha Rais Samia
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema katika kipindi cha miaka miwili cha Rais Samia Suluhu ...Rais Samia apandisha dau magoli ya Simba na Yanga hadi milioni 10
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 ...Mtoto aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia atoka hospitali
Mtoto Aminu Baranyikwa (15) aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa ziarani mkoani Kagera ameruhusiwa kutoka hospitalini na ...Rais Samia: Tunaendelea kutekeleza mazuri tuliyoyaanzisha awamu ya tano
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kazi zinazoendelea kufanyika ni mwendelezo wa yale mazuri waliyoyaanzisha katika awamu ya tano akiwa na Hayati ...Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza baraza la kumshauri kuhusu kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Kilimo na Kuongeza Uzalishaji wa Chakula. ...