Tag: Rais Samia
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza baraza la kumshauri kuhusu kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Kilimo na Kuongeza Uzalishaji wa Chakula. ...Rais Samia kushiriki mkutano wa pamoja kati ya Afrika Kusini na Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini Machi 16, mwaka huu kwa mwaliko maalum kutoka kwa ...Rais Samia akemea viongozi kusengenyana na kudharau wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi kuacha tabia za kudharauliana wenyewe kwa wenyewe na kuwadharau wananchi, badala yake wakafanye kazi kwa misingi ...Rais afanya uteuzi mpya, Mchechu ateuliwa Hazina, Makame NHC
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la ...Serikali kuangalia uwezekano kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma na cheti
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia uwezekano uliopo ili kuanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa ngazi ya stashahada na astashahada. Ameyasema ...