Tag: Rais Samia
Rais Samia awatengua viongozi watano
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za viongozi wafuatao; 1. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali; ...Rais Samia awapongeza Watanzania walioshinda medali nchini Uswisi
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa Kitanzania walioibuka washindi wa pili na kupata medali ya fedha katika mashindano ya kwanza ya ...Rais Samia: Tanzania iko tayari kutoa michango zaidi katika ulinzi wa amani duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imechangia askari 1,489 katika misheni 16 za ulinzi wa amani duniani na kwamba iko tayari kutoa ...Rais Samia ateua wapya sita, yumo David Kafulila
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo; (1) Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya ...Balozi wa Tanzania arejeshwa nchini, Usalama wa Taifa wapata bosi mpya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi mbalimbali katika Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania kama ...Watu 11 wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uzushi kuhusu Rais Samia
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 11 kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo na uzushi zinazomhusu ...