Tag: Rais Samia
Rais Samia apongeza umahiri wa Hayati Magufuli mradi wa Bwawa la Nyerere
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya changamoto na hujuma zilizofanywa wakati wa kuanzisha kwa mradi huo, aliyekuwa Rais wa awamu ...Historia, Rais Dkt. Samia akizindua ujazaji maji Bwawa la Nyerere
Leo Desemba 22, 2022 Tanzania inaandika historia katika safari kuelekea mapinduzi ya nishati ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua zoezi ...SGR yatoa ajira kwa Watanzania zaidi ya 20,000
Rais Dkt. Samia Suluhu amesema Serikali ina lengo la kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafiri na usafirishaji pamoja na kitovu cha biashara ...Rais Samia atengua uamuzi wa TRA kuhusu Machinga kutumia EFD
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ...Rais Dkt. Samia Suluhu atunukiwa tuzo ya kimataifa nchini India
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Kimataifa ijulikanayo kama International Iconic Awards iliyotolewa na Taasisi ya International Iconic Awards ya ...Rais Samia atangaza kuifumua na kuisuka upya Serikali
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kufanya mabadiliko kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ili kuachana na ...