Tag: Rais Samia
Rais Samia: Uchaguzi CCM ukiimarishe chama kuelekea chaguzi zijazo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. Samia Suluhu amewataka wanachama wa chama hicho waliochaguliwa na wanaogombea katika uchaguzi utakaofanyika leo Desemba ...Dkt. Samia: Vipaumbele vyetu ni kuhakikisha wanawake wanazifikia njia za kuwainua kiuchumi
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA) unaweza kutoa fursa za kuwainua ...Rais Samia akemea uvujifu wa taarifa za Serikali mitandaoni
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya watunza kumbukumbu kuvujisha taarifa za Serikali kwenye mitandao ya kijamii kwa maslahi yao ...Rais Samia: Wanasheria iangalieni kwa uzito DRC
Rais Samia Suluhu Hassan ameikiagiza Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) kuiangalia kwa upana nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo ...Rais Samia: Wanasiasa wanachochea migogoro ili wapate kura za wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanasiasa kuacha kuchochea migogoro ya ardhi kwa wananchi kwa ajili ya manufaa yao binafsi badala yake wawaambie ...Maagizo 8 ya Rais Samia akizungumza na mabalozi Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan leo Novemba 19, 2022 amekutana na kufanya kikao na mabalozi mbalimbali wanaoiwakilisha Tanzania katika sehemu mbalimbali duniani, ambapo ...