Tag: Rais Samia
Rais Samia: Mgao wa maji Dar es Salaam utapungua
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mradi wa maji uliozinduliwa Kigamboni, anatumaini mgao wa maji unakwenda kupungua katika jiji ...Rais Samia aeleza sababu za ukosefu wa maji Dar
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sababu za kupungua kwa maji katika Mto Ruvu umechangiwa na uharibifu unaofanywa na baadhi ya wananchi ikwemo ...Rais Samia akemea viongozi kujimilikisha vyama vya siasa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa vyama vya siasa kujijadili na kujitathmini wao wenyewe kuhusu mienendo yao ndani ya vyama kwa ...Rais Samia ataka wananchi kupewa elimu ya sheria zinazotungwa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya sheria hususani sheria ya ardhi za kimila zinazorotesha utekelezaji wa sheria ya ardhi ...Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi wa Bandari ya Kibirizi, Kigoma
Katika siku yake ya tatu ya ziara ya kikazi mkoani Kigoma, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi la Upanuzi wa ...