Tag: Rais Samia
Rais Samia awasha umeme wa gridi ya Taifa na kuzima jenereta la Kasulu
Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 17, 2022 kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi amewasha umeme wa Gridi ya Taifa ...Rais Samia azitaka TAKUKURU na ZAECA kujitafakari
Rais Samia Suluhu Hassan amesema amesikitishwa na viongozi wasio waadilifu na wanaozembea makosa yanayofanyika katika miradi mbalimbali ya maendeleo na wakisubiri hadi ...Rais Samia atuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge
Rais Samia Suluhu Hassan amemtuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kufuatia kifo cha Mbunge wa ...Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza kongamano la mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia itakayofanyika Novemba 01 na 02, 2022 ...Rais Samia: Mawaziri jueni mipaka ya mamlaka yenu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kufanya kazi kwa kuzingatia misingi iiyowekwa ikiwemo kuheshimu katiba, kujua mipaka na kutunza siri za Serikali ...Rais Samia: Vijana wengi wamekosa lishe bora
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na matatizo yanayowapata vijana wengi na kushindwa kuzaa watoto wenye afya njema, chanzo kikuu ni kukosa ...