Tag: Rais Samia
Rais Samia aelekeza mashirika ya umma kufanya mabadiliko ya kiutendaji
Rais Samia Suluhu amewataka Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kutoa maoni yao ya namna wanavyotamani taasisi wanazoziongoza ...Rais atoa rai maeneo ya Kizimkazi yatumike vizuri kwa manufaa ya kizazi kijacho
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wakazi wa maeneo ya Kizimkazi kuyatumia vizuri maeneo yao wanayoyamiliki kwa uangalifu na wasiyatoe bila ...AGRICOM YAKABIDHI TREKTA 500, POWER TILLERS 800 NA VIFAA VINGINE VYA KILIMO.
kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...