Tag: Rais Samia
Rais Samia: Haki itapunguza mlundikano wa mahabusu gerezani
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka mawakili kusimamia sekta ya sheria kwa uadilifu na kwa uaminifu ikiwa ni pamoja na kutenda haki ili ...Rais Samia: Kuna pengo la ubaguzi wa kijinsia kwenye biashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema suala la ubaguzi wa kijinsia katika biashara linahitaji kuzungumziwa katika ngazi ya Umoja wa Afrika ikiwa ni ...Polisi wafuta kesi 1,840 kwa kukosa ushahidi
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai kuhakikisha unafanyika upelelezi ikiwa ni pamoja na ...Rais Samia asema Tanzania imepiga hatua usawa wa kijinsia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imejitahidi kupiga hatua katika usawa wa kijinsia kwa kutoa fursa mbalimbali kwa wanawake hasa katika nafasi ...Rais Samia: Msiwabughudhi wananchi mnapowaomba michango
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wa Halmashauri ya Makete kuacha kuwabughudhi wananchi pindi watakapowafuata kuomba michango ya taa za barabarani bali ...Rais aagiza 40% ya mapato ya halmashauri yaende kwenye maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kutumia asilimia 40 ya mapato yanayokusanywa na halmashauri kuelekezwa katika ...