Tag: Rais Samia
Ashitakiwa kwa kujifanya Rais Samia Mtandaoni
Kijana Nickson Mfoi (20) mkazi wa jiji la Mwanza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kujifanya Rais wa Jamhuri ...Maeneo 7 ya ushirikiano yaliyoridhiwa kati ya Tanzania na Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kikazi inayolenga ...Rais Samia awataka wanajeshi wanaoteuliwa uraiani kutokuvaa kombati za jeshi
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makanali walioapishwa kuwa wakuu wa mikoa kuacha kuvaa kombati katika majukumu yao ya kazi mpaka pale watakaporejea ...Rais Samia awaonya viongozi matumizi mabaya ya fedha za Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuacha kutumia vibaya fedha zinazotolewa katika wilaya kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Ameyasema ...Rais Samia mgeni rasmi siku ya Mashujaa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, itakayofanyika kitaifa Julai 25, ...