Tag: Rais Samia
Rais Samia: Serikali haitakubali kusalitiwa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Makatibu Mahsusi, Watunza Kumbukumbu pamoja na maafisa utumishi kutunza siri za Serikali wanazozijua katika utekelezaji ...Rais Samia: Kombe la Dunia kutembezwa Tanzania kuna maana kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania kutumia fursa zinazoletwa nchini kuitangaza na kuisemea vizuri Tanzania pamoja na kutumia fursa hizo kibiashira. Ameyasema ...Bunge lampongeza Rais Samia kwa kushinda tuzo ya Mjenzi Mahiri
Bunge la Tanzania limetoa azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa miongoni mwa viongozi wenye ushawishi zaidi duniani, pamoja na ...Rais Samia: Uchumi wa Tanzania unaimarika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya hali ya uchumi kushuka wakati anaingia madarakani kutokana na janga la UVIKO 19 kuathiri uchumi ...Hoja 9 walizobeba CHADEMA kwenye kikao na Rais Samia
Upatikanaji wa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, zuio la mikutano ya hadhara na makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ...Rais Samia: Mnajigawa mafungu, mnapambana kwa ajili gani?
Rais Samia Suluhu Hassan amevisihi vyama vya siasa kuacha kupambana na Serikali na badala yake kushirikiana kufanya kazi ili kuijenga Tanzania. Ameyasema ...