Tag: Rais Samia
Wanaohama Ngorongoro kwa hiari wamshukuru Rais Samia
Baadhi ya wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha ambao wameamua kuhama kwa hiari kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wamemshukuru Rais Samia Suluhu ...Rais Samia ataja sababu sita kwanini wawekezaji waichague Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan ametaja sababu sita za wafanyabiashara wa Oman kuwekeza nchini Tanzania kwa kuwa inatoa fursa za pekee za uwekezaji. ...Rais Samia ataka nyumba za ibada zitumike kuimarisha amani
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kujenga Taifa la watu wenye hofu ya Mungu, heshima, upendo, ...Rais Samia: Msiwabambike wananchi bili za maji
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi wanaotoza bili za maji kuacha tabia za kuwabambika bili wananchi ili kufidia gharama za uendeshaji za ofisi ...Kijana aliyemwandikia Rais Samia barua apewa milioni 5
Rais Samia Suluhu Hassan amempatia mtaji wa biashara na fedha za kujikimu kijana Yassin Said mwenye ulemavu wa ngozi, baada ya kijana ...Rais Samia: Wizara ya Maji mlinipa tabu mwanzoni
Rais Samia Suluhu Hassan amesema baada ya Serikali kutatua tatizo la kisheria kuhusu mradi wa Same – Mwanga, kwa sasa Serikali inatafuta ...