Tag: Rais Samia
Hoja 9 walizobeba CHADEMA kwenye kikao na Rais Samia
Upatikanaji wa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, zuio la mikutano ya hadhara na makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ...Rais Samia: Mnajigawa mafungu, mnapambana kwa ajili gani?
Rais Samia Suluhu Hassan amevisihi vyama vya siasa kuacha kupambana na Serikali na badala yake kushirikiana kufanya kazi ili kuijenga Tanzania. Ameyasema ...Rais Samia: Tanzania bado ipo uchumi wa kati
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania haijashuka kutoka uchumi wa kati bali kilichorudi nyuma ni kasi ukuaji wa uchumi ndani kulikochangiwa kwa ...Tanzania kuuza gesi nje ya Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inatarajia kuuza gesi ndani ya Afrika na nje ya Afrika baada ya ujenzi wa mtambo mkubwa ...Waliopata msamaha wa Rais kufuatiliwa
Zikiwa ni siku chache tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutoa msamaha wa vifungo kwa wafungwa 3,826, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta ...Rais Samia awajibu wanaohoji kuhusu Machifu
Akizungumza katika Tamasha la Utamaduni mkoani Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inashirikiana na machifu na wazee wa kimila mbalimbali ...