Tag: Rais Samia
Rais Samia asema Tanzania imepiga hatua usawa wa kijinsia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imejitahidi kupiga hatua katika usawa wa kijinsia kwa kutoa fursa mbalimbali kwa wanawake hasa katika nafasi ...Rais Samia: Msiwabughudhi wananchi mnapowaomba michango
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wa Halmashauri ya Makete kuacha kuwabughudhi wananchi pindi watakapowafuata kuomba michango ya taa za barabarani bali ...Rais aagiza 40% ya mapato ya halmashauri yaende kwenye maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kutumia asilimia 40 ya mapato yanayokusanywa na halmashauri kuelekezwa katika ...Ashitakiwa kwa kujifanya Rais Samia Mtandaoni
Kijana Nickson Mfoi (20) mkazi wa jiji la Mwanza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kujifanya Rais wa Jamhuri ...Maeneo 7 ya ushirikiano yaliyoridhiwa kati ya Tanzania na Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kikazi inayolenga ...Rais Samia awataka wanajeshi wanaoteuliwa uraiani kutokuvaa kombati za jeshi
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makanali walioapishwa kuwa wakuu wa mikoa kuacha kuvaa kombati katika majukumu yao ya kazi mpaka pale watakaporejea ...







