Tag: Rais Samia
Waziri Mkuu: Serikali inathamini mchango wa viongozi wa dini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa madhehebu mbalimbali nchini kuzingatia sheri ya uhuru wa kuabudu ili kuepuka uvunjifu wa ...Dkt. Biteko asisitiza umuhimu wa uelimishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesisitiza umuhimu wa kampeni ya uelimishaji katika kufanikisha malengo ya kitaifa ya ...Serikali yaongeza mshahara kwa watumishi wa mma na kuhimiza mapitio kwa Sekta Binafsi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1 kutoka 370,000 hadi ...Rais Samia awataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa
Rais Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa pamoja na maamuzi yasiyo ya ...Rais: Nitaendelea kuilea Tanzania kwa kuharakisha huduma za kijamii
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuwa ataendelea kuwajibika kwao kwa kuilea Tanzania na kuharakisha huduma zote muhimu za kijamii kama sehemu ...Taasisi ya Bill Gates kumtunuku tuzo Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ iliyoandaliwa na taasisi ya ‘The Gates Foundation’ ya nchini Marekani ...







