Tag: Rais Samia
Msimamo wa Serikali kuhusu utekelezaji wa kitita kipya cha NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa rai kwa hospitali zote zilizositisha kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya ...ATCL yafafanua hitilafu iliyotokea kwenye injini ndege ikiwa angani
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imesema hitilafu iliyotokea katika ndege yake aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda ...Bodaboda Tanga wachoma basi la Saibaba lililomgonga mwenzao
Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ...Rais Samia: Wanasiasa tufuate nyayo za Lowassa, tusitukanane
Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wanasiasa kufuata nyayo za Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa za kuheshimiana na kujenga siasa zenye hoja pasipo ...Rais Samia apongezwa na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kwa jitihada zake za ...Rais Samia awasihi majaji kutenda haki katika mashauri
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa majaji na mahakimu wote nchini kuwajibika kwa kufanya kazi zao kwa uadilifu na kutenda haki, ...