Tag: Rais
Rais Samia asisitiza JWTZ kuendelea kuwa Jeshi la mfano Afrika
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuendelea ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia, akutana na Rais wa taasisi hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term ...Mahakama: Rais hakuvunja Katiba kwa kumwongezea muda Jaji Mkuu
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu imesema uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kumwongezea muda Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji ...Kinana: Wapinzani jengeni hoja na si kumkejeli Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana amewashauri na kuwakumbusha wanasiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa ...