Tag: Rais
Mahakama: Rais hakuvunja Katiba kwa kumwongezea muda Jaji Mkuu
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu imesema uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kumwongezea muda Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji ...Kinana: Wapinzani jengeni hoja na si kumkejeli Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana amewashauri na kuwakumbusha wanasiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa ...Museveni akataa kusaini muswada wa mapenzi ya jinsia moja, aurudisha bungeni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wa sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja unaotoa adhabu ya kifo katika ...Rais Samia ateua wenyeviti wapya TARI na NIT
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), ...