Tag: Rais
Rais Samia ateua wenyeviti wapya TARI na NIT
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), ...Rais Samia aahidi kutoa milioni 10 kwa kila goli Taifa Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa TZS milioni 10 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuanzia ...Rais Mteule wa Nigeria aenda mapumziko Ulaya
Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu amesafiri hadi nchini Ufaransa na Uingereza ili kupumzika na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa ...Rais Samia: Siwezi kutia mkono suala la Wabunge 19
Rais Samia Suluhu amesema Serikali imefanya ubunifu wa kuhakikisha taifa la Tanzania linaungana na kuwa na umoja kwa kuvifanya vyama vya siasa ...Rais Samia: Sifurahii kubadili viongozi, inachukua muda kuwajenga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea. ...