Tag: Rais
Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...Rais Samia kununua kila goli la Simba na Yanga kwa TZS milioni 5
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kununua kila bao litakalofungwa na klabu za Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa ya mwisho ...Rais Samia: Vijana msisubiri Serikali itengeneze ajira
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuacha kusubiri Serikali kutengeneza ajira badala yake kutafuta fursa zilizopo na kuzichangamkia ili nchi ...Wajumbe 11 walioteuliwa na Rais katika Tume ya Uboreshaji Haki Jinai
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na ...Rais Mstaafu wa Comoro ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mahakama nchini Comoro imemhukumu kifungo cha maisha jela Rais Mstaafu nchi hiyo, Ahmed Abdallah Sambi ambaye amepatikana na hatia ya kuuza hati ...