Tag: Rais
Baada ya miaka 43 madarakani, Rais wa Equatorial Guinea kugombea tena
Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa miaka 43, amethibitisha kuwa atagombea tena katika uchaguzi wa ...Rais Samia: Serikali yangu imejielekeza kutatua kero za wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya sita haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake inajielekeza katika ...Dkt. Mpango azindua maabara ya afya ya jamii Kibong’oto
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo tarehe 16 Julai 2022 amefungua maabara ya afya ya jamii ya Kibong’oto wilayani Siha mkoani ...Rais Samia: Magari ya TASAF yasiende kubeba magunia ya mikaa
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka halmashauri na Wakurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo (TASAF) kusimamia magari 241 yaliyotolewa kwa mamlaka za maeneo ya ...Rais Samia kuondoka nchini leo kwenda Ghana kikazi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu ...Dkt. Mpango kumwakilisha Rais kwenye mkutano Uswisi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango leo Mei 20, 2022 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Davos nchini Uswisi atakapomwakilisha Rais Samia Suluhu ...