Tag: Rais
Rais Samia kuondoka nchini leo kwenda Ghana kikazi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu ...Dkt. Mpango kumwakilisha Rais kwenye mkutano Uswisi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango leo Mei 20, 2022 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Davos nchini Uswisi atakapomwakilisha Rais Samia Suluhu ...Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu afariki dunia
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73 ...Samia: Sikuona uzuri wa Royal Tour
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hasara aliyoisababisha ya kukaa nje ya ofisi siku kadhaa katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour ...