Tag: rwanda
DRC yaifungulia kesi Rwanda Mahakama ya Haki za Binadamu, kesi kusikilizwa leo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefungua kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye ...Rais Tshisekedi kutohudhuria majadiliano ya EAC kuhusu mgogoro na Rwanda
Rais wa DRC, Félix Tshisekedi amesema hatashiriki mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais wa Kenya, William ...Marekani yaitaka Rwanda kusitisha mapigano DRC
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeishinikiza Rwanda kusitisha mapigano mara moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku ikitoa tahadhari ...Kiwanda cha kuzalisha bangi Rwanda kukamilika Septemba
Ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha bangi katika Mji wa Musanze uliopo Kaskazini mwa Rwanda unatarajiwa kukamilika katika wiki ya kwanza ya mwezi ...Anne Rwigara, mkosoaji wa Serikali ya Rwanda afariki, kifo chaibua utata
Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia ...Rwanda: Waziri mstaafu ahukumiwa miaka 5 jela kwa ufisadi
Mahakama Kuu mjini Kigali nchini Rwanda imemhukumu kwenda jela miaka mitano pamoja na kulipa faini ya Rwf30 milioni [TZS milioni 65.1] aliyekuwa ...