Tag: Samia
Rais Samia aahidi kutoa milioni 10 kwa kila goli Taifa Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa TZS milioni 10 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuanzia ...Rais Samia: Siwezi kutia mkono suala la Wabunge 19
Rais Samia Suluhu amesema Serikali imefanya ubunifu wa kuhakikisha taifa la Tanzania linaungana na kuwa na umoja kwa kuvifanya vyama vya siasa ...Rais Samia: Sifurahii kubadili viongozi, inachukua muda kuwajenga
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea. ...Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...Rais Samia kununua kila goli la Simba na Yanga kwa TZS milioni 5
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kununua kila bao litakalofungwa na klabu za Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa ya mwisho ...Rais Samia: Vijana msisubiri Serikali itengeneze ajira
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuacha kusubiri Serikali kutengeneza ajira badala yake kutafuta fursa zilizopo na kuzichangamkia ili nchi ...