Tag: serikali
Serikali yatenga bilioni 114 ukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoathiriwa na El Nino
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoharibiwa na mvua ...Serikali kuanzisha kambi maalumu kutoa msaada wa kisheria kwa wafungwa
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema Serikali, kwa kushirikiana na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), inajipanga kuanzisha kambi maalumu ...Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Serikali: Wananchi milioni 26.7 wamejiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za ...Rais Samia: Tunataka kujenga mfumo wa kodi unaotenda haki
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kutatua changamoto za kodi nchini ambapo imeimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato na kuijengea uwezo Mamlaka ...