Tag: serikali
Kanisa lamshtaki DC Nyamagana, Mahakama yampa siku tano
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imempa siku tano Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi kuwasilisha mahakamani kiapo kinzani kuhusu shauri la ...Serikali yanunua vifaa tiba vya bilioni 14.9 kwa ajili ya majimbo yote 214
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa fedha za nyongeza TZS bilioni 14.9 mwezi Novemba, 2023 ...Mahakama yampa ruhusa kukusanya manii ya mume wake aliyefariki
Katika tukio la kushangaza, mwanamke mwenye umri wa miaka 62 nchini Australia ameruhusiwa kukusanya manii ya marehemu mumewe, akiwashawishi majaji kuwa wawili ...Serikali kuingiza tani 50,000 za sukari kukabiliana na upungufu uliopo
Serikali imeidhinisha kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo ambayo imesababisha ...TAWA: Mtalii aliyewinda mamba alikuwa na kibali halali
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema uchunguzi uliofanyika umebaini mtalii aliyewinda mamba katika kitalu cha Lake Rukwa GR alikuwa na ...TRA yavunja rekodi, yakusanya trilioni 3.05 Desemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Desemba) imefanikiwa kukusanya ...