Tag: serikali
Ruto: Ndani ya miaka 10 Kenya haitotambulika
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza na kuwahakikisha Wakenya kwamba nchi hiyo itapitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka 10 ijayo kiasi cha ...Askari wanaodaiwa kumuua mlinzi Dar wafukuzwa kazi
Askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan wamefukuzwa kazi. Jeshi ...Njia 10 za kumwelewa Mwanamke
Kumwelewa mwanamke kunahusisha kuchukua muda kujifunza kuhusu yeye binafsi, kuthamini tofauti zao, na kujenga mawasiliano mazuri. Mara nyingi, mwanamke anaweza kuonyesha hisia ...Nauli mpya za mabasi zaanza kutumika leo
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza kuanza kutumika kwa nauli za mabasi ya masafa marefu na mijini (daladala) kuanzia Ijumaa Desemba ...Serikali yaeleza chanzo cha mafuriko Hanang
Serikali imesema chanzo cha mmomonyoko wa ardhi wilayani Hanang mkoani Manyara ni kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ulikuwa na miamba ...