Tag: serikali
PPRA: Serikali imepata hasara ya TZS bilioni 8
Ripoti ya ukaguzi na uchunguzi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imebainisha kuwa Serikali imepata hasara ya jumla ...Waziri Ummy asema Serikali haijafuta Toto Afya Kadi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mpango wa bima ya afya kwa watoto wanaojiunga kwa hiari (Toto Afya Kadi) haujafutwa, bali kilichobadilika ...Serikali yaweka wazi vigezo inavyozingatia kumpokea mwekezaji
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kutokana na Tanzania kuwa na fursa mbalimbali za uwekezaji serikali inazingatia vigezo maalum ...Rais Samia: Serikali yangu si ya maneno ni vitendo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi ...Faida 14 Tanzania inazotarajia kupata ikiingia mkataba wa uendelezaji wa bandari na DP World
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza faida ambazo Tanzania itanufaika baada ya bunge kupitisha azimio la mkataba baina ya Serikali ...