Tag: serikali
Aina 16 za vitabu zilizopigwa marufuku kutumika shuleni nchini
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye shule na ...Rais Samia: Vijana msisubiri Serikali itengeneze ajira
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuacha kusubiri Serikali kutengeneza ajira badala yake kutafuta fursa zilizopo na kuzichangamkia ili nchi ...Miaka 50 jela kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia hatiani watu sita wakiwemo watatu wa familia moja na kuhukumiwa kwenda ...Rais Samia akemea uvujifu wa taarifa za Serikali mitandaoni
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya watunza kumbukumbu kuvujisha taarifa za Serikali kwenye mitandao ya kijamii kwa maslahi yao ...Serikali kufuatilia waliokamatwa na dhahabu India wakitokea Tanzania
Serikali imesema inafuatilia taarifa za kukamatwa kwa wasafiri saba wakiwemo wanne waliotoka Tanzania wakiwa na kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya ...Serikali kuchukua hatua video ya wanafunzi inayosambaa mitandaoni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufuatilia utovu wa nidhamu uliofanywa na baadhi wa wanafunzi wa shule ...