Tag: serikali
Rais Samia: Vijana msisubiri Serikali itengeneze ajira
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kuacha kusubiri Serikali kutengeneza ajira badala yake kutafuta fursa zilizopo na kuzichangamkia ili nchi ...Miaka 50 jela kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia hatiani watu sita wakiwemo watatu wa familia moja na kuhukumiwa kwenda ...Rais Samia akemea uvujifu wa taarifa za Serikali mitandaoni
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya watunza kumbukumbu kuvujisha taarifa za Serikali kwenye mitandao ya kijamii kwa maslahi yao ...Serikali kufuatilia waliokamatwa na dhahabu India wakitokea Tanzania
Serikali imesema inafuatilia taarifa za kukamatwa kwa wasafiri saba wakiwemo wanne waliotoka Tanzania wakiwa na kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya ...Serikali kuchukua hatua video ya wanafunzi inayosambaa mitandaoni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufuatilia utovu wa nidhamu uliofanywa na baadhi wa wanafunzi wa shule ...Bunge laiagiza Serikali kuharakisha ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Bunge limeitaka Serikali kurahakisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ili kuhakikisha uwepo wa mizigo ya kutosha itakayosafirishwa kupitia reli ya kisasa (SGR) ...