Tag: serikali
Agizo la Serikali kwa shule zinazochuja wanafunzi wasiofikisha viwango vya ufaulu
Serikali imepiga marufuku baadhi ya shule kuchuja wanafunzi wasiofikia kiwango kilichowekwa na shule pamoja na kuwazuia kufanya mitihani ya kitaifa kwa wanafunzi ...Serikali yaondoa ulazima wa uvaaji barakoa
Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa nchini kutokana na kuendelea kupungua kwa hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote. Akizungumza ...Serikali: Watanzania wamechoka kuona Taifa Stars ikifungwa kila siku
Serikali imesema imeandaa mpango wa kusaka vipaji vya Watanzania kwenye maeneo yote ya nchi vitakavyoleta mabadiliko katika timu ya taifa kutokana na ...Serikali: Bajeti ya Sensa ni Bilioni 400
Serikali imesema bajeti ya Sensa ya Watu na Makazi, na Sensa ya Majengo ambayo iliidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...Serikali kurahisisha gharama za ununuzi wa gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali inakamilisha utaratibu wa kumwezesha mteja kununua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Waziri ...Agizo la Serikali kwa ATCL kuhusu nauli za ndege
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kutazama upya suala la nauli za ndani ili kuwavutia abiria ...