Tag: serikali
Wananchi watahadharishwa kufuatilia maji wanayotumia kuepuka magonjwa
Meneja wa Maabara Kuu ya Ubora wa Maji Dar es Salaam, Hashim Kabelwa amewasihi wananchi katika maeneo mbalimbali kuwa makini na kuzingatia ...Serikali yatenga bilioni 11 usajili wa watoto NIDA
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema inafanya maandalizi ya kusajili watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ...Serikali: Tanzania na Marekani zitaendeleza mazungumzo kuhusu udhibiti wa viza
Serikali imesema itaendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na Serikali ya Marekani yanayolenga kupata muafaka kuhusu uamuzi wa kuiweka Tanzania katika kundi la nchi ...Mabalozi waeleza dhamira ya kuimarisha ushirikiano na Tanzania
Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa nchini Tanzania wamethibitisha kwa pamoja dhamira yao ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Serikali ...BAKWATA yaitaka Serikali kutowafumbia macho waliochochea vurugu Oktoba 29
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu zimeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini watu ...








