Tag: serikali
Serikali yawaonya madereva wanaohamasisha mgomo
Serikali imewaonya baadhi ya madereva wanaopotosha taarifa iliyotolewa na Serikali Julai 22, mwaka huu kuhusu hatua zilizochukuliwa katika kushughulikia hoja na malalamiko ...Serikali kutoa Mwongozo wa Maadili ya Kitanzania
Serikali imesema imekamilisha uchapishaji wa kitabu cha mwongozo wa maadili, na sasa inaendelea kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu maadili ya ...Serikali kuzalisha tani milioni 16 za mbolea mwaka 2026
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina mpango wa kuzalisha mbolea kuanzia tani milioni sita kwa mwaka huu hadi milioni 16 kufikia ...Dkt. Ndumbaro: Serikali haimzuii mtu kusema katiba ina mapungufu
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika mijadala inayoendelea ya katiba wanaozungumza ni wanasiasa na vyama vya siasa, na ...Serikali: Asilimia 88 ya vijana nchini wana kazi
Utafiti uliofanywa na Serikali umeonesha kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kimepungua kutoka asilimia 10.3 mwaka 2014 hadi asilimia 9.0 mwaka 2021, ...Serikali yachukua hatua uchafuzi wa mazingira ya bahari
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kulinda mazingira ya bahari ikiwemo kupiga marufuku utumiaji wa ...