Tag: serikali
Serikali kuja na mpango wa kupunguza gharama za bando
Serikali imesema inakuja na mpango wa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA ili kupunguza gharama za uzalishaji utakaosaidia kushuka kwa bei za ‘Bando’ ...Rais Samia: Serikali yangu imejielekeza kutatua kero za wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya sita haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake inajielekeza katika ...Serikali yashauri wananchi kuongeza ulaji wa nyama na mayai
Inaelezwa kuwa pamoja na uzalishaji wa mifugo nchini, bado ulaji wa nyama kwa mtu mmoja kwa mwaka ni mdogo kitaifa ambapo takwimu ...Serikali yawaonya madereva wanaohamasisha mgomo
Serikali imewaonya baadhi ya madereva wanaopotosha taarifa iliyotolewa na Serikali Julai 22, mwaka huu kuhusu hatua zilizochukuliwa katika kushughulikia hoja na malalamiko ...Serikali kutoa Mwongozo wa Maadili ya Kitanzania
Serikali imesema imekamilisha uchapishaji wa kitabu cha mwongozo wa maadili, na sasa inaendelea kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu maadili ya ...Serikali kuzalisha tani milioni 16 za mbolea mwaka 2026
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina mpango wa kuzalisha mbolea kuanzia tani milioni sita kwa mwaka huu hadi milioni 16 kufikia ...