Tag: serikali
Dkt. Ndumbaro: Serikali haimzuii mtu kusema katiba ina mapungufu
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika mijadala inayoendelea ya katiba wanaozungumza ni wanasiasa na vyama vya siasa, na ...Serikali: Asilimia 88 ya vijana nchini wana kazi
Utafiti uliofanywa na Serikali umeonesha kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kimepungua kutoka asilimia 10.3 mwaka 2014 hadi asilimia 9.0 mwaka 2021, ...Serikali yachukua hatua uchafuzi wa mazingira ya bahari
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kulinda mazingira ya bahari ikiwemo kupiga marufuku utumiaji wa ...Serikali yakabidhi tozo ya maegesho ya magari Manispaa
Serikali imekabidhi kazi ya tozo ya maegesho ya magari (packing) katika manispaa za jiji la Dar es Salaam kutoka kwa Wakala wa ...Serikali kutoa mikopo ya kujenga vituo vya mafuta vijijini
Katika siku ya tano ya ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba ya kijiji kwa kijiji, imemfikisha Kata ya Buselesele Jimbo la ...Serikali: Tumebakisha maombi 30,000 kati ya 120,000 kuungansha umeme nchi nzima
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara, Waziri wa Nishati, January Makamba amewahahakikishia wananchi wa Sengerema kuwa maombi yao ya kuunganishiwa umeme ifikapo Agosti ...