Tag: serikali
Serikali: Hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya gharama za umeme
Serikali imesema hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya bei kwa wananchi ambao tayari wamelipia kiasi cha TZS 27,00 kwa ajili ya kuunganishiwa umeme. ...Tanzania kuuza sukari nje ifikapo mwaka 2025
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeazimia kufanya mageuzi ya kilimo cha kisasa ambayo yanapaswa kwenda sambamba na mahitaji ya viwanda vya ...Serikali yaruhusu usafirishaji wanyamapori hai nje ya nchi
Serikali imeruhusu usafirishaji wa wanyama pori hai nje ya nchi waliokuwa wamesalia kwenye mazizi na mashamba ya ufugaji baada ya zuio la ...Rais Samia: Serikali haitakubali kusalitiwa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Makatibu Mahsusi, Watunza Kumbukumbu pamoja na maafisa utumishi kutunza siri za Serikali wanazozijua katika utekelezaji ...Msisikilize maneno ya watu wa pembeni, Waziri Mkuu awaambia wakazi wa Ngorongoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi ...Serikali: Benki ya Deutsche haidhamini bomba la mafuta (EACOP)
Wizara ya Nishati imekanusha taarifa zilizokuwa zikienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kujitoa ufadhili kwa Benki ya Deutsche katika mradi wa Bomba ...