Tag: serikali
Tanzania inaiuzia Zambia mahindi tani 650,000 kukabiliana na njaa
Tanzania inauza mahindi tani 650,000 nchini Zambia ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kufuatia mazungumzo kati ya Rais Samia Suluhu na Rais ...Tabora United hatarini kufungiwa uwanja wa nyumbani kwa kuvunja kanuni za ligi
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema imeazimia kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ...Zawadi za washindi wa NMB Pesa zawafikia mtaani kwao
Mwandishi Wetu, Dodoma. WASHINDI wa Kampeni ya Weka, Tumia na Ushinde Kutoka Benki ya NMB, jana walikabidhiwa zawadi huku umati mkubwa wa ...Serikali: Rais Mwinyi ataongoza kwa kufuata katiba
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rais Dkt. Hussein Mwinyi ataendelea kuheshimu utaratibu uliowekwa wa Rais kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano ...Serikali yapendekeza makosa ya ajali barabarani yapelekwe kwenye makosa makubwa zaidi
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Askari wa Usalama Barabarani kutokuwa na huruma kwa wazembe wote wanaokiuka sheria za barabarani hata ...