Tag: serikali
Rais Samia: Serikali haitakubali kusalitiwa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Makatibu Mahsusi, Watunza Kumbukumbu pamoja na maafisa utumishi kutunza siri za Serikali wanazozijua katika utekelezaji ...Msisikilize maneno ya watu wa pembeni, Waziri Mkuu awaambia wakazi wa Ngorongoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi ...Serikali: Benki ya Deutsche haidhamini bomba la mafuta (EACOP)
Wizara ya Nishati imekanusha taarifa zilizokuwa zikienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kujitoa ufadhili kwa Benki ya Deutsche katika mradi wa Bomba ...Serikali kuhamisha shughuli zote za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa TTCL
Serikali imesema ipo katika mchakato wa kuhamishia shughuli zote za Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Taarifa ...Arusha: Wananchi washambuliwa na mawe kutoka kusikojulikana
Wakazi wa Kijiji cha Kiwawa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wameingia kwenye taharuki baada ya mawe kurushwa kwenye maeneo yao na watu ...Bei ya Pamba kwa kilo yaongezeka kwa asilimia 92
Serikali imetangaza TZS1,560 kwa kilo moja kuwa bei elekezi ya pamba kwa msimu wa ununuzi wa mwaka 2022/2023 kutoka TZS 810 kwa ...








