Tag: serikali
Serikali kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia nchini
Serikali imetangaza kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia Tanzania Bara itakayogharimu Dola za Marekani 44 [TZS 116,100]. Leongo la ...Baba wa kijana aliyepigwa risasi Kenya atapeliwa akiahidiwa kusaidiwa bili ya hospitali
Jonah Kariuki ambaye ni baba wa Boniface Kariuki, muuza barakoa aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya ametapeliwa KSH 200,000 ...Serikali: Tunafanya juhudi kuwarejesha nyumbani Watanzania walioko Iran na Israel
Kutokana na vita vinavyoendelea kati ya Iran na Israel, Serikali ya Tanzania imesema inaendelea na juhudi za kuwaorodhesha Watanzania waliopo katika nchi ...Rais: Daraja la JP Magufuli limegharamiwa kwa kodi za Watanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo – Busisi) lililotumia shilingi bilioni 718 hadi kukamilika kwake umegharamiwa ...








