Tag: serikali
Serikali ya Zanzibar yalaani unyanyasaji unaofanyika kwa sababu za kidini
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imelaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali visiwani humo katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu ...Serikali yatumia bilioni 2.4 kugharamia timu za Taifa
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika kipindi cha Julai 2023 hadi Februari, 2024 wizara kupitia Baraza la ...Mume adaiwa kumuua aliyekuwa mkewe, kisha ajinyonga kisa mali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha kutokea kifo cha Doto Hamisi Magambazi (30) mkazi wa Mjimwema Kiluvya mkoani humo aliyefariki dunia ...Waziri Mkenda asema wamedhibiti wizi wa mitihani ndani ya NECTA
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hayo yamesemwa na ...Angola: 50 wafariki kwa kunyweshwa mitishamba ili kujua kama ni wachawi
Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa dawa ya mitishamba ili kuthibitisha kwamba hawakuwa wachawi. Msemaji wa polisi, ...